Yanga imetinga nusu fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi kibabe baada ya kuilaza Jamhuri Fc mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Amaan
Nyota wawili kutoka Zanzibar, Adeyum Saleh na Mohammed Issa 'Banka' waliihakikishia Yanga ushindi huo mnono
Yanga sasa itacheza na Mtibwa Sugar siku ya Ijumaa, Jan 10 2020
ADVERTISE HERE