Mwenyekiti wa Bodi ya ligi Steven Mguto amesema tukio la mlinzi wa Simba Paschal Wawa kumkanyaga kwa makusudi mshambuliaji wa Yanga Ditram Nchimbi kwenye mchezo baina ya timu hizo ambao ulipigwa mwishoni mwa wiki, wameliona
Mguto amesema watachukua hatua kulingana na kanuni na taratibu zilizowekwa
"Tumeliona tukio la beki wa Simba Serge Wawa kumkanyaga mshambuliaji wa Yanga Ditram Nchimbi. Hatua zitachukuliwa," amesema
Jana uongozi wa Yanga uliwasilisha malalamiko kwa Bodi ya ligi kulalamikia tukio hilo ambalo mwamuzi hakuchukua hatua
ADVERTISE HERE