Leo Mwamuzi Jonesia Rukyaa amejiharibia 'CV' yake kwa uamuzi wa kutoka mkwaju wa penati ambao haukuwa sahihi
Mshika kibendera alionyesha Kagere alikuwa ameotea, lakini pia hata kama ni kufanyiwa madhambi, yalifanyika nje ya 18
Alichofanya Kagere ni tukio la kumdanganya mwamuzi
Waamuzi wetu wanapaswa kuwa makini wanapochezesha michezo ya aina hii
ADVERTISE HERE