Pamoja na kuwa alijiunga na timu siku mbili zilizopita, kiungo Haruna Niyonzima amedhirisha kwa nini Yanga ilimuhitaji arejee
Niyonzima alikuwa bora leo, ubunifu na mikimbio yake iliwapa wakati mgumu viungo wa Simba kumdhibiti
Kwa kiwango alichoonyesha leo pamoja na ugeni wake, ni mchezaji ambaye anakwenda kuifanya Yanga izaliwe upya
Uongozi wa Yanga ulifanya uamuzi sahihi kumrejesha Niyonzima kikosini kwani mchango wake umeanza kuonekana mapema
ADVERTISE HERE