Tuko tayari kwa mechi hata sasa hivi - Mkwasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jan 2020
Tuko tayari kwa mechi hata sasa hivi - Mkwasa

Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema vijana wake wako tayari kwa mchezo dhidi ya Simba hapo kesho

Akizungumza na wanahabari mapema leo kuelekea mchezo huo, Mkwasa amesema ari ya vijana wake iko juu, kila mmoja anatamani mchezo huo ufike

"Wasifikiri mchezo utakuwa rahisi kama wanavyodhani."

"Vijana wangu wako tayari tena wanatamani mchezo huo ungepigwa leo hata sasa ivi"

"Leo jioni tutakamilisha maandalizi ya mwisho, ambayo yatakuwa ni maelekezo madogo madogo tu kwani kazi kubwa tumeshaifanya," amesema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’