Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa keshokutwa Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa
Kabla ya kuanza mazoezi ya jioni, kulikuwa na utambulisho wa kiungo Haruna Niyonzima na Meneja wa timu Abeid Mziba









ADVERTISE HERE