Boban, Chuji, Mngwali waibukia Singida United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jan 2020
Boban, Chuji, Mngwali waibukia Singida United

Hali ni tete kwa Singida United ambapo Rais wa timu hiyo Dk Mwigulu Nchemba amelazimika kuja na mkakati wa kuinusuru isiteremke daraja

Singida United iko busy katika dirisha dogo la usajili ambapo inaongeza wachezaji wakongwe, wenye uzoefu wa ligi

Walima alizeti hao tayari wamekamilisha usajili wa nyota kadhaa wakiwemo wakongwe ambao waliwahi kuitumikia Yanga kwa vipindi tofauti

Athumani Iddi 'Chuji', Haruna Moshi 'Boban' na Haji Mwinyi Mngwali ni miongoni mwa wachezaji wapya waliosajiliwa na timu hiyo

Pia wamo Six Mwasekaga, Ame Ally, Owen Chaima na Tumba Luis Swedi

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’