Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi kabambe kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Simba
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Januari 04 2020 katika uwanja wa Taifa
Yanga inajifua uwanja wa Chuo cha Polisi, Kurasini jijini Dar es salaam









ADVERTISE HERE