Tunawatakia kheri ya mwaka mpya Wana Jangwani, wapenzi, mashabiki na Wanachama wa klabu ya Yanga na Watanzania wote kwa ujumla
Leo siku ya kwanza kati ya siku 365 za mwaka 2020
Ni mwaka mpya, tuweke malengo mapya na tumuombe Mwenye ez Mungu atupe nguvu ya kuweza kukamilisha malengo hayo
HAPPY NEW YEAR 2020..!
ADVERTISE HERE