Kuna kosa limefanyika mahali - Ten

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Dec 2019
Kuna kosa limefanyika mahali - Ten

Aliyekuwa Kaimu Meneja wa Yanga Dismas Ten amesema kusimamishwa kwake kumetokana na makosa yaliyofanyika mahali pengine

Uongozi wa Yanga umetangaza kumsimamisha Ten ili kupisha uchunguzi kufuatia tukio la kuwavalisha wachezaji na benchi la ufundi jezi zisizo rasmi ambazo hazikutolewa na wadhamini kampuni ya GSM

"Ni kama tu goli linapofungwa, wengi tunakimbilia kumlaumu kipa, lakini ukweli ni kwamba lazima tu kuna sehemu kosa lilifanywa na wengine," ameandika Ten kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

Kabla ya kuteuliwa kuwa kaimu meneja wa Yanga, Ten aliteuliwa kuwa Afisa Masoko

Ten alijiunga na Yanga mwaka 2017 akiwa Afisa Habari na baadae kukaimu nafasi ya Katibu Mkuu kwa muda mfupi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’