Kaimu Meneja wa klabu ya Yanga Dismas Ten amesimamishwa baada ya kuwavalisha sare zisizo halali wachezaji na benchi la ufundi kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United
Sare hizo hazikutengenezwa na Mdhamini wa Yanga kampuni ya GSM kwa mujibu wa mkataba

ADVERTISE HERE