Polisi Tanzania, Azam Fc zamaliza sakata la Nchimbi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Dec 2019
Polisi Tanzania, Azam Fc zamaliza sakata la Nchimbi

Baada ya wadau wa soka kupaza sauti kufuatia uamuzi wa TFF kumnyima leseni mshambuliaji Ditam Nchimbi kuitumikia Yanga kufuatia kuwekewa pingamizi na Polisi Tanzania, viongozi wa klabu ya Azam Fc na wale wa Polisi Tanzania pamoja na TFF wamekutana leo kumaliza sakata la mchezaji huyo

Habari njema ni kuwa mwafaka umefikiwa baada ya pande zote kukubaliana hivyo TFF itatoa leseni ya Nchimbi

Polisi Tanzania imeridhia Nchimbi aitumikie Yanga

Hivyo atakuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Simba kwenye mchezo wa ligi kuu utakaopigwa Jumamosi, Januari 04 2020 kwenye uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’