Mshambuliaji Maybin Kalengo amerejea nchini kuendelea na matibabu ya jeraha ya kuvunjika mguu alilopata mwezi wa tisa
Mshambuliaji huyo ambaye alitua Yanga kwa mkopo akitokea klabu ya Zesco United, anatibiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Ni jukumu la Yanga kumtibu kwani aliumia wakati akiwatumikia mabingwa hao wa kihistoria
Lakini huenda akarejeshwa katika klabu yake ya Zesco United baada ya kupona majeraha
ADVERTISE HERE