Kucheza Yanga raha bhana! ndivyo unavyoweza kusema baada ya mashabiki wa Yanga kumjaza mapesa mshambuliaji wa timu hiyo Tariq Seif Kiakala baada ya kufunga bao pekee kwenye ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa
Tukio hilo lilitokea baada ya mchezo kumalizika
Tariq alifunga bao hilo kwenye dakika ya 85 na kuihakikishia Yanga ushindi muhimu ulioipandisha mpaka nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi
Huo ulikuwa mchezo wake wa kwanza tangu ajiunge na Yanga, akiwafunga waajiri wake wa zamani
ADVERTISE HERE