Yanga yachupa nafasi ya pili Msimamo VPL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Dec 2019
Yanga yachupa nafasi ya pili Msimamo VPL

Ushindi wa bao 1-0 iliyopata Yanga dhidi ya Biashara United umeifanya ichupe mpaka nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu ya Vodacom

Aidha Kagera Sugar iliyokuwa ikishikilia nafasi hiyo, imelazwa mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting

Yanga imefikisha alama 24 sawa na Kagera Sugar lakini ina uwiano mzuri wa mabao ya kufunga/kufungwa

Kagera Sugar pia imecheza michezo mitatu zaidi ya Yanga iliyoshuka dimbani mara 11 tu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’