Kampuni ya GSM imeweka mezani kitita cha Tsh Milioni 10, fedha hizo ni kwa ajili ya wachezaji wa Yanga kama wataibuka na ushindi katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Biashara United
Mchezo huo utapigwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa
Huo umekuwa utaratibu rasmi wa GSM kuwapa motisha wachezaji kuhakikisha wanashinda kila mchezo
Tangu waanze utaratibu huo, Yanga haijapoteza mchezo wowote kwenye ligi, imetoka sare mara mbili
ADVERTISE HERE