Kikosi cha Yanga leo jioni kimekamilisha maandalizi yake ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Biashara United
Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa mchezo huo utapigwa uwanja wa Taifa kesho Jumatatu, Disemba 30 kuanzia saa kumi kamili jioni
Nyota wapya waliosajiliwa hivi karibuni, Tariq Seif Ditram Nchimbi, Adeyum Saleh na Yikpe Gnamien walishiriki mazoezi hayo









ADVERTISE HERE