Niyonzima aandaliwa mapokezi makubwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2019
Niyonzima aandaliwa mapokezi makubwa Yanga

Kiungo fundi Haruna Niyonzima anatarajiwa kuwasili nchini leo kujiunga na Yanga tayari kwa maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Simba Januari 04 2020

Niyonzima anayerejea Yanga kwa mara ya pili, ameandaliwa mapokezi makubwa ambapo mashabiki watapewa nafasi ya kumpokea nyota huyo mwenye heshima kubwa katika klabu ya Yanga

Niyonzima huenda akatambulishwa kesho kabla ya mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Biashara United ambao utapigwa uwanja wa Uhuru

Habari njema ni kuwa baada ya kumsajili tu Yanga ilianza mchakato wa kufuatilia vibali vyake na hivyo ataweza kushiriki mchezo wa Januari 04

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’