Kagera Sugar bado inasaka ushindi kwa tochi VPL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Oct 2017
Kagera Sugar bado inasaka ushindi kwa tochi VPL
Sare zimeendelea kutawala ligi kuu ya Vodacom baada ya mchezo pekee wa mzunguuko wa saba uliopigwa leo kati ya Mwadui FC dhidi ya Kagera Sugar kumalizika kwa sare ya bao 1-1.

Aidha Kagera Sugar iliyomaliza nafasi ya tatu msimu uliopita imeendelea kusaka ushindi kwa tochi baada ya kupata sare ya tatu katika michezo saba iliyopita.

Mechi nyingine sita zinatarajiwa kupigwa kesho Jumamosi wakati mabingwa watetezi Yanga watashuka kwenye dimba la Kambarage keshokutwa Jumapili kuumana na Stand United.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’