Mshambuliaji mpya wa Yanga Tariq Seif Kiakala hakuongoza na timu mkoani Mbeya
Kiakala alipata majeraha madogo katika mazoezi siku ya kwanza aliyojiunga kujifua na mabingwa hao wa kihistoria
Hata hivyo mchezaji huyo sasa yuko 'fit' akiendelea na mazoezi binafsi jijini Dar es salaam
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa leo
Mshambuliaji huyo huenda akaanza kuonekana dimbani kwenye mchezo ujao wa ligi dhidi ya waajiri wake wa zamani Biashara United ambao utapigwa Disemba 30 kwenye uwanja wa Uhuru
ADVERTISE HERE