Kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi ya mwisho jijini Mbeya kabla ya kuanza safari kwenda Iringa kucheza na Tanzania Prisons kesho tarehe 27/12/2019 kwenye Uwanja wa Samora saa 10:00 jioni, mchezo ambao awali ulipangwa kufanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya



ADVERTISE HERE