Yanga yagoma kujifua Sokoine, yahamia JKT Itende

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Dec 2019
Yanga yagoma kujifua Sokoine, yahamia JKT Itende

Benchi la ufundi la Yanga limelazimika kuhamishia mazoezi yake uwanja wa JKT Itende kutokana na hali mbaya ya uwanja wa Sokoine

Yanga ilipaswa kutumia uwanja wa Sokoine leo kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania Prisons

"Kutokana na hali ya Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kuwa katika haki mbaya, Yanga imeamua kutoutumia uwanja huo kwa mazoezi yake ya leo kujiandaa na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons uliopangwa kuchezwa kwenye Uwanja huo kesho"

"Benchi la Ufundi limependekeza mazoezi ya leo kufanyika Uwanja wa JKT Itende," imesema taarifa ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’