Mshambuliaji mpya wa Yanga Yikpe Gnamien ni miongoni mwa wachezaji walioshiriki mazoezi mkoani Mbeya leo yakiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa siku ya Ijumaa
Viungo Feisal Salum, Mohammed Issa 'Banka' na Abdulaziz Makame 'Bui' pamoja na beki Ali Ali nao walishirki mazoezi hayo
Wachezaji hao walitua Mbeya jana kuongeza nguvu kuelekea mchezo dhidi ya Tanzania Prisons
Mshambuliaji Ditram Nchimbi nae alitarajiwa kuwasili leo
ADVERTISE HERE