Gnamien kutua Mbeya, kuongozana na nyota wengine

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Dec 2019
Gnamien kutua Mbeya, kuongozana na nyota wengine

Mshambuliaji Yikpe Gnamien atajiunga na kikosi cha Yanga mkoani Mbeya kesho Jumanne baada makubaliano kufikiwa

Taarifa zilizopatikana mapema leo, zimebainisha kuwa Gnamien tayari amefanyiwa vipimo vya afya

Aidha wachezaji Ally Ally, Feisal Salum, Abdulaziz Makame, Mohammed Issa 'Banka' pamoja na Mrisho Ngasa nao watasafiri kujiunga na timu

Hata hivyo wachezaji hao watakosa mchezo wa kesho dhidi ya Mbeya City lakini watauwahi mchezo dhidi ya Tanzania Prisons

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
35m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’