Michuano ya kombe la Mapinduzi mwaka huu itapigwa kwa mfumo wa mtoano
Michuano hiyo inayotarajiwa kuanza mapema mwezi Januari 2020, itazishuhudia timu za Yanga, Azam, Mlandege na Jamhuri kutoka kundi A na Simba, Mtibwa, Chipukizi na Zimamoto kutoka kundi B
Januari 07, Yanga itacheza na Jamhuri wakati Azam Fc itachuana na Mlandege
Timu zitakazoshinda michezo hiyo zitatinga nusu fainali kuchuana na mshindi kati ya Mtibwa dhidi ya Chipukizi na Simba dhidi ya Zimamoto
Michuano hiyo itafikia tamati Januari 13 kwa mchezo wa fainali kupigwa
ADVERTISE HERE