Kesho Jumamosi, kikosi cha Yanga kitashuka kwenye uwanja wa Uhuru kuikabili Iringa United ukiwa ni mchezo wa kombe la FA raundi ya tatu
Kabla ya mchezo huo jambo kubwa sana litafanyika
Mashabiki wameaswa kujitokeza kwa wingi huku wakivalia jezi zao zenye chapa ya GSM
Jezi mpya Brand chapa GSM pia zitapatikana kwenye Gari maalum la kuuzia jezi nje ya Uwanja wa Uhuru
Yanga imekamilisha mazoezi yake ya mwisho leo uwanja wa Uhuru kuelekea mchezo huo
Β
ADVERTISE HERE