Chikupe arejea rasmi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Dec 2019
Chikupe arejea rasmi Yanga

Beki Andrew Vicent Chikupe amerejea rasmi Yanga baada ya kumalizwa kwa sintofahamu baina yake na uongozi wa timu hiyo

Tangu kuanza kwa msimu huu Chikupe hakuonekana kikosini sababu ikiwa madai ya malimbikizo ya fedha za usajili

Kurejea kwake ni ishara kuwa uongozi wa Yanga wakipewa nguvu na GSM, wamemalizana nae

Akizungunza baada ya kurejea rasmi, Chikupe ameushukuru uongozi wa Yanga kwa kumaliza changamoto iliyokuwepo. Amesema amerudi kufanya kazi Yanga kama mwanzo

Chikupe sasa anaungana na Kelvin Yondani, Lamine Moro, Ally Mtoni, Ally Ally, Mustafa Suleyman na Cleofas Sospeter kuwa miongoni wanaounda safu ya ulinzi wa kati

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’