Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu kwani kuna jambo kubwa litajiri muda si mrefu
Jana Nugaz aliahidi kuwa mabingwa hao wa kihistoria watakuwa na utambulisho wa mchezaji mpya leo saa tano asubuhi, pia kesho Ijumaa, Jumatatu na Jumanne
Hata hivyo bado ahadi hiyo haijatimizwa kwa siku ya leo
"Tulieni mashabiki tunapika jambo zuri hivi punde mtasikia kitu," amesema Nugaz
ADVERTISE HERE