Azam Fc yamkabidhi Nchimbi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Dec 2019
Azam Fc yamkabidhi Nchimbi Yanga

Uongozi wa Azam FC umethibitisha kumalizana na Yanga juu ya uhamisho wa mshambuliaji wake Ditram Nchimbi ambaye anakipiga kwa mkopo katika klabu ya Polisi Tanzania. .

Afisa Habari wa Azam FC Jaffary Idd amesema Yanga walionesha nia ya kumuhitaji mchezaji huyo na na baada ya kufika mezani, walipewa masharti ikiwemo kulipa fidia ya muda wake wa mkataba uliobaki, sharti ambalo Yanga walilitimiza

Nchimbi atajiunga rasmi na Yanga baada ya kumalizika michuano ya Chalenji inayofanyika nchini Uganda

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’