Timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' jioni ya leo inatupa karata muhimu nchini Uganda kwa kuumana na wenyeji Uganda Cranes katika mchezo wa nusu fainali michuano ya Chalenji
Hiki hapa kikosi cha Kili Stars kinachoanza;

ADVERTISE HERE