Mwamnyeto kuigharimu Yanga Tsh Milioni 50

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Dec 2019
Mwamnyeto kuigharimu Yanga Tsh Milioni 50

Usajili wa beki wa Coastal Union na timu ya Taifa Bakari Mwamnyeto kwenda klabu ya Yanga, utawagharimu mabingwa hao wa kihistoria Tsh Milioni 50

Yanga imedhamiria kukamilisha usajili wake haraka wakati huu wa dirisha dogo

Inaelezwa usajili wa Mwamnyeto ni mpango wa muda mrefu

Baada ya mafanikio waliyopata Nadir Haroub na Kelvin Yondani, Yanga inamuangalia beki huyo kama mchezaji anayeweza kuwa nguzo ya safu ya ulinzi hasa Yondani atakapokuwa amestaafu

Kwani akiwa na umri wa miaka 22 tu, Mwamnyeto tayari ameonyesha ni mchezaji mahiri

Ni mmoja wa wachezaji wa kutegemewa wa timu ya Taifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’