Dirisha dogo la usajili limefunguliwa leo Disemba 16 2019 na litakuwa wazi mpaka Januari 15 2020
Yanga tayari imenasa sahihi ya nyota mmoja, mshambuliaji Tariq Seif Kiakala
Pengine baada ya michuano ya Chalenji kumalizika, usajili wa nyota wengine wawili ambao wako timu ya Kilimanjaro Stars utawekwa hadharani
Beki Bakari Mwamnyeto na mshambuliaji Ditram Nchimbi wanatajwa kuwa katika hatua za mwisho kabisa kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria
Mabosi wa Yanga wametamba kuwa watatumia dirisha dogo la usajili kuunda Yanga mpya kabisa
January 04 Yanga imepania kwelikweli kurejesha ufalme wake dhidi ya watani zao Simba
ADVERTISE HERE