Mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Rhino Rangers umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana.
Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Ali Hassani Mwinyi mkoani Tabora ulikuwa maalumu kwa kocha George Lwandamina kuwajaribu wachezaji wasiopata nafasi katika kikosi cha kwanza.
Yanga iko mkoani Tabora ikiendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa saba dhidi ya Stand United.
Mchezo huo utapigwa mkoani Shinyanga, Jumapili ijayo, Oktoba 22.

ADVERTISE HERE