Klabu ya Yanga imetoa usafiri wa mabasi madogo (Cosater) mawili kusafirisha waombolezaji kutoka Bagamoyo mpaka Dar es Salaam na kisha kuwarudisha Bagamoyo baada ya shughuli za Mazishi ya marehemu Mzee Ibrahim Akilimali aliyefariki jana huko Bagamoyo
Mazishi ya Mzee Akilimali yatafanyika leo saa 10 jioni Tandale kwa Mtogole
ADVERTISE HERE