Mzee Akilimali afariki dunia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Dec 2019
Mzee Akilimali afariki dunia

Siku ya leo Yanga imepata pigo baada ya kuondokewa na mdau na Mwanachama wake maarufu Mzee Ibrahim Akilimali

Mzee Akilimali amesumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, leo amemaliza safari ya maisha yake duniani

Mzee Akilimali aliwahi kuwa Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga, atakumbukwa kwa misimamo yake

Amefariki nyumbani Kwake Bagamoyo na atasafirishwa kurudishwa makazi yake yaTandale Dar es Salaam kwa ajili ya maziko

Maziko yatafanyika kesho Saa 10:00 Jioni

Tumuombee Mzee wetu Mungu ampunguzie adhabu ya kabri kwani sote ni njia moja na kifo ndio safari yetu ya mwisho hapa duniani

Pumzika kwa Amani Mzee Akilimali..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
4h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
9h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’