Yanga iliwasili mkoani Kigoma jana jioni na leo itashuka kwenye uwanja wa Lake Tanganyika kuikabili Namgongo FC ukiwa ni mchezo wa kirafiki
Namgongo FC inashiriki ligi daraja la pili
Pichani juu ni wachezaji wa Yanga wakimsikiliza Kocha Msaidizi, Said Maulidi kuelekea mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa 10:30 jioni
ADVERTISE HERE