Dante anarejea kuimarisha 'ukuta wa chuma'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Dec 2019
Dante anarejea kuimarisha 'ukuta wa chuma'

Wakati hatma ya Lamine Moro aliyeomba kuvunja mkataba ikiwa gizani, Yanga imepata ahueni baada ya kumalizana na Andrew Vicent 'Dante'

Jana Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilimuaru Dante kuripoti kazini Yanga baada ya kumalizika kwa sintofahamu baina yake na uongozi

Kama Yanga itashindwa kumshawishi Lamine arejee nchini kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa kihistoria, moja kwa moja Dante ataweza kuchukua nafasi yake

Hata hivyo beki huyo kisiki amekuwa nje kwa zaidi ya miezi mitano pengine atahitaji muda zaidi wa kufanya mazoezi ili kuwa fit

Jana uongozi wa Yanga ulithibitisha kumalizika kwa shauri lake na wamemkaribisha tena klabuni

"Uongozi wa Yanga, unamkaribisha tena kikosini beki Andrew Vicent baada ya kumalizika kwa shauri la kesi baina ya pande mbili. Karibu tena Nyumbani," ilisema taarifa ya Yanga

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
41m ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
5h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’