Nyota wanne wa kigeni wajaribiwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Dec 2019
Nyota wanne wa kigeni wajaribiwa Yanga

Yanga leo imerejea mazoezini baada ya mapumziko ya siku tano kujiwinda na mchezo wa kombe la FA dhidi ya Iringa United

Aidha kuelekea dirisha dogo la usajili, Yanga imewaleta nyota wanne wa kigeni ambao benchi la ufundi linawafanyia tathmini kuangalia uwezo wao

Wachezaji hao wanatoka nchi za Nigeria, Uganda, Rwanda na Swaziland

Kaimu kocha mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amethibitisha ujio wa nyota hao walioanza mazoezi na timu leo

"Ni kweli kuna wachezaji wamekuja,kama umewaona ni wakigeni,wapo 4,lakini bado kama uongozi kulitolea tamko kama tumemalizana nao ama tutaachana nao

Usajili bado haujafunguliwa na lazima tutasajili kutokana na mapungufu ya timu," amesema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’