Viongozi wa Yanga Bara, Zanzibar wakutana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Dec 2019
Viongozi wa Yanga Bara, Zanzibar wakutana

Ujumbe kutoka Zanzibar ukiongozwa na Katibu Mkuu mpya wa Yanga Zanzibar, Dkt. Ali Saleh Mwinyikai, leo umekutana na viongozi wa Kitaifa wa Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti Dkt. Mshindo Msolla.

Ujumbe huo maalum umeleta ujumbe maalum kutoka Zanzibar na pia viongozi hao wamejadili maauala mbalimbali ya Maendeleo ya klabu

Wengine walioshiriki kikao hicho ni wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Frank Kamugisha, Saad Khimji na Mkurugenzi wa Sheria na Wanachama, Simon Patrick pamoja na Mkurugenzi wa Mashindano, Thabit Kandoro

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’