Mshambuliaji Donald Ngoma ambaye taarifa za awali zilieleza kuwa amesaini klabu ya Polokwane City inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini, amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Yanga
Habari iliyotolewa Jumanne na mtandao wa KickOff, ilieleza kuwa Ngoma amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia klabu hiyo, lakini mwenyewe amekanusha.
Habari hiyo ilieleza kuwa atajiunga na Polokwane City pindi mkataba wake na Yanga utakapomalizika kabisa siku chache zijazo.
Hata hivyo Ngoma leo Jumatano amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Yanga.

ADVERTISE HERE