Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi katika dimba la Ali Hassani Mwinyi mkoani Tabora ikiwa ni maandalizi ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa saba dhidi ya Stand United Oktoba 22.
Aidha kulingana na Afisa Habari wa Yanga, Dismas Ten Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki siku ya Jumatano (keshokutwa) dhidi ya Rhino Rangers katika uwanja huo.
Yanga imeweka kambi mkoani Tabora baada uongozi kuridhia ushauri uliotolewa na benchi la Ufundi. Yanga ilitarajiwa kuweka kambi mkoani Mwanza kabla ya uamuzi huo.

ADVERTISE HERE