Pichani Juu ni ukumbi wa Mikutano wa klabu ya Yanga. Ukumbi huo utatumika kwa mikutano yote ya klabu na waandishi wa Habari.
Wakati wao wakipiga kelele majukwaani sisi tunaendelea kufanya mabadiliko ya maana.
Yanga imepita kwenye wakati mgumu lakini ni dhahiri kupitia changamoto hizo taratibu majibu yameanza kupatikana.
Yanga inajiandaa kufanya jambo kubwa la kihistoria siku chache zijazo.

ADVERTISE HERE