CECAFA imefanya mabadiliko ya ratiba ya michuano ya Chalenji inayoanza keshokutwa Jumamosi nchini Uganda kufuatia baadhi ya timu kujitoa
Tanzania Bara ambayo iko kundi B, itaanza michuano hiyo kwa kuchuana na Kenya katika mchezo ambao utapigwa siku ya Jumapili Disemba 08
Mchezo dhidi ya Zanzibar utapigwa Disemba 10

Kikosi cha Kilimanjaro Stars kinatarajiwa kuondoka nchini leo kuelekea Uganda
ADVERTISE HERE