Msafara wa viongozi wa Yanga pamoja na baadhi ya Wanachama wa klabu hiyo mkoani Mwanza leo wamefika Hospitali ya Bugando kwa ajili ya kuwajulia hali wagonjwa pamoja na kutoa misaada mbalimbali
Katibu Mkuu wa Yanga Dk David Ruhago pamoja na Msemaji wa klabu hiyo Antonio Nugaz waliwaongoza Wanachama katika zoezi hilo
Wanachama 200 walitarajiwa kushiriki zoezi la uchangia wa damu katika Hospitali hiyo

ADVERTISE HERE