Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Clement Sanga amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi katika uchaguzi wa Bodi hiyo uliofanyika leo Jumapili jijini Dar es Salaam.
Sanga amepata kura 10 dhidi ya mpinzani wake Yahya Mohammed aliyepata kura sita.
Hongera Sanga kwa kufanikiwa kuongoza Bodi ya Ligi Kuu.
Sanga amepata kura 10 dhidi ya mpinzani wake Yahya Mohammed aliyepata kura sita.
Hongera Sanga kwa kufanikiwa kuongoza Bodi ya Ligi Kuu.
ADVERTISE HERE