Nyota wanaosafiri kuifuata Alliance Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Nov 2019
Nyota wanaosafiri kuifuata Alliance Fc

Kikosi cha Yanga SC kilichoondoka Alfajiri ya leo tarehe 27/11/2019 kuelekea Jijini Mwanza kwenye mchezo wa tarehe 29/11/2019 wa VPL dhidi ya Alliance Fc

1. Farouk Shikhalo

2. Ramadhani Kabwili

3. Juma Abdul

4. Jafary Mohammed

5. Ally Mtoni

6. Kelvin Yondani

7. Mustafa Selemani

8. Lamine Moro

9. Papy Tshishimbi

10. Mrisho Ngassa

11. David Molinga

12. Raphael Daud

13. Sadney Urikhob

14. Deus Kaseke

15. Juma Balinya

16. Said Juma

17. Patrick Sibomana

18. Adam Kiondo(u20)

Pamoja na Benchi la ufundi lenye viongozi saba likiongozwa na Kocha Charles Boniface Mkwasa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’