Mshambuliaji Amissi Tambwe hayumo kwenye kikosi cha Yanga kitakachouana na Kagera Sugar kulingana na orodha yakikosi iliyotolewa.
Kwenye safu ya ushambuliaji kocha George Lwandamina amewaanzisha Obrey Chirwa na Ibrahim Ajib.
Licha ya kuanza mazoezi Tambwe inaonekana bado hayuko tayari kurejea dimbani kwani hayumo hata kwenye orodha ya wachezaji wa akiba.
Tambwe amekuwa nje kwa zaidi ya miezi miwili akisumbuliwa na matatizo ya goti.

ADVERTISE HERE