Watakaosajiliwa dirisha dogo kujumuishwa kikosini mapema

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Nov 2019
Watakaosajiliwa dirisha dogo kujumuishwa kikosini mapema

Baada ya mchezo dhidi ya Alliance Fc, ligi itasimama kupisha michuano ya CECAFA Chalenji ambayo itafanyika nchini Uganda kuanzia Disemba Mosi

Kulingana na ratiba ya Bodi ya Ligi, baada ya michuano ya CECAFA Chalenji kumalizika, mchezo utakaofuata ni dhidi ya Simba January 04 2020

Lakini mwishoni mwa wiki ijayo, Yanga itaifuata Alliance Fc Novemba 29 jijini Mwanza kucheza moja ya mechi zake za viporo kabla ya baadhi ya wachezaji wake kwenda kujiunga na timu za Taifa kushiriki michuano hiyo

Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema timu itaendelea na mazoezi kipindi chote cha mapumziko hayo

Aidha amesema watawajumisha kwenye kikosi baadhi ya nyota ambao wanataka kuwasajili dirisha dogo kujiridhisha na uwezo wao

cut

"Baada ya mchezo dhidi ya JKT Tanzania, tuliwapa wachezaji mapumziko ya siku tatu baadae tutaendelea na program zetu za mazoezi. Hatuwezi kukaa tu kwa kuwa ligi imesimama kwa muda mrefu," Mkwasa aliiambia Yanga TV

"Mipango yetu ni kuwa tutatumia kipindi hicho kuimarisha timu yetu. Tutakuwa na mechi nyingi za kirafiki. Pia tutawaalika baadhi ya wachezaji ambao tunataka kuwasajili kujumuika nasi"

"Ni wakati ambao pia tutawapa nafasi wachezaji wetu wa timu ya vijana ambao naamini tutaendelea kuwatumia katika michezo yetu mbalimbali"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
38m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’