Baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya JKT Tanzania, kikosi cha Yanga kitaelekea mkoani Mwanza kucheza moja ya michezo yake ya viporo dhidi ya Alliance Fc
Mchezo huo utapigwa Ijumaa, Novemba 29 kwenye uwanja wa CCM Kirumba
Aidha kama hakutakuwa na mabadiliko, Yanga itashuka tena dimbani Disemba 02 kuikabili KMC kabla ya ligi kusimama kupisha michuano ya CECAFA Chalenji ambayo ratiba inaonyesha itaanza Disemba Mosi mpaka Disemba 19 nchini Uganda
ADVERTISE HERE