Kaseke amezaliwa upya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Nov 2019
Kaseke amezaliwa upya

Kiungo mshambuliaji Deus Kaseke leo amechangia kwa kiasi kikubwa ushindi wa Yanga katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania

Katika mchezo huo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-2, Kaseke alihusika katika mabao yote

Huyu ndiye Kaseke ambaye Yanga imrejesha kutoka Singida United na kumjumuisha kwenye kikosi chake ambacho kilishiriki hatua ya makundi michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika msimu wa 2017/18

Kaseke hakuwa na wakati mzuri sana kipindi cha kocha Mwinyi Zahera lakini hakuna shaka ujio wa Mkwasa umemfanya ajitambue zaidi na sasa mchango wake unaonekana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’